top of page

Mwandishi:

Mhariri:

ULY CLINIC

Dkt. Mangwella S, MD

Jumatatu, 25 Oktoba 2021

Nyanya
Nyanya

Nyanya huweza kutumika kama tunda ama kiungo cha chakula kama kinavyotumika mara nyingi katika jamii zetu za Afrika na watu weupe pia.


Nyanya huwa na vitu gani ndani yake?


Nyanya huwa na virutubisho na madini ya Caretinoid kwa kiasi- husaidia katika utengenezaji wa chembe hai katika jicho hivyo tunaeza kuona vema

Lycopene huwa kwa kiasi kikubwa sana na husaidia katika kutoa sumu zinazounguza chembe hai mwilini(kazi ya antoxidant), ambapo kwa kufanya kazi hiyo husaidia kuleta faida nyingi kama kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na saratani

Huwa na vitamin C, madini ya potassium (Kali), folate na vitamin K pia.

Imeboreshwa,
10 Novemba 2021 10:54:44
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
 

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii

bottom of page