Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
Dkt. Helen L, MD
Jumapili, 11 Juni 2023
Protini
Protini ni mnyororo wa amino asidi ziliounganishwa kwa pamoja na α-peptide.
Vyanzo vya Protini?
Kiwango cha protini kwenye chakula hutegemea aina ya chakula. Kwa ujumla, wanyama huwa ni chanzo kikuu cha protini ukilinganisha na vyakula vya mimea.
Nyama, mayai, maziwa huwa chanzo kikuu cha protini yenye kiwango.Yai pia huchukuliwa chanzo kizuri cha protini ukilinganisha na vyakula vingine licha ya kukosa baadhi ya aina ya protini.
Baadhi ya mimea kama vile aina ya kunde kama vile maharagwe, mbaazi na kunde huwa na kiwango kizuri cha protini.
Protini ya mimea jamii ya kunde hukosa protini aina ya methionine.
Kazi za protini
Protini huhitajika katika ukuaji wa mwili na kuponya tishu zilizoumia.
Imeboreshwa,
11 Juni 2023 11:57:28
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Institute of Medicine. Protein and amino acids. In: Dietary reference intakes for energy, carbohydrate, fiber, fat, fatty acids, cholesterol, protein and amino acids. Washington (DC): Institute of Medicine, National Academies Press; 2005. p. 589–768.
Dasgupta M, Sharkey JR, Wu G. Inadequate intakes of indispensable amino acids among homebound older adults. J Nutr Elderly 2005;24:85–99.
FAO. Dietary protein quality evaluation in human nutrition. Report of an FAO Expert Consultation. FAO Food and Nutrition Paper No 92; FAO: Rome; 2013.
Marinangeli CPF, House JD.. Potential impact of the digestible indispensable amino acid score as a measure of protein quality on dietary regulations and health. Nutr Rev 2017;75:658–67.
Phillips SM. Current concepts and unresolved questions in dietary protein requirements and supplements in adults. Front Nutr 2017;4:13.