Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Jumapili, 27 Machi 2022
Salsa
Salsa ni mchanganyiko unatokea baada ya kuchanganywa kwa pilipili , nyanya Pamoja na chumvi na baadhi na aina Fulani ya mboga za majani, salsa huweza kuliwa ikiwa mbichi au baada ya kuchemshwa. Ni nzuri kwa afya kwani imekua na fada nying sana mwilini.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Salsa
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye salsa
Kemikali muhimu ipatikanayo kwenye Salsa ni Quercetin na Citric Acid
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Salsa yenye gramu 100
Nishati = 29kcal
Mafuta = 0.2g
Maji = 89.3g
Kabohaidreti = 6.7g
Sukari = 3.8g
Nyuzilishe = 1.8g
Protini = 1.4g
Vitamini zinazopatikana kwenye Salsa yenye gramu 100
Vitamini A = 24mcg
Vitamini B1 = 0.035mg
Vitamini B2 = 0.032mg
Vitamini B3 = 1.120mg
Viatmini B6 = 0.176mg
Vitamini B9 = 4mcg
Vitamini C =1.9mg
Vitamini E = 1.22mg
Vitamini K = 4.2mg
Madini yanayopatikana kwenye Salsa yenye gramu 100
Kalishiamu = 28mg
Kopa = 0.07mg
Madini Chuma = 0.42mg
Magineziamu = 15mg
Fosifolasi = 32mg
Potashiamu = 258mg
Sodiamu = 656mg
Zinki = 0.2mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Salsa
Kusaidia kuongeza hamu kula
Kusaidia kupunguza uzito
Kuweka msawazo wa sukari kwenye damu.
Kuweka msawazo wa kiwango cha maji mwilini
Kusaidia kpunguza athari ya kupatwa na ugonjwa wa kansa.
Kuimarisha utendaji kazi wa moyo.
Imeboreshwa,
27 Machi 2022 16:07:20
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Salsa. https://www.nutritionvalue.org/Salsa_552834_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.
Denham BE. Dietary supplements--regulatory issues and implications for public health. JAMA. 2011 Jul 27;306(4):428-9. doi: 10.1001/jama.2011.982. Epub 2011 Jul 5. PMID: 21730229. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/21730229/. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.
Foster M, Samman S. Vegetarian diets across the lifecycle: impact on zinc intake and status. Adv Food Nutr Res. 2015;74:93-131. doi: 10.1016/bs.afnr.2014.11.003. Epub 2015 Jan 7. PMID: 25624036. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/25624036/. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.
The Science of Salsa: Antimicrobial Properties of Salsa Components to Learn Scientific Methodology by Tamara L. Marsh and Paul E. Arriola. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3577155/. Imechukuliwa tarehe 1 February 2022.