Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Topetope
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda Topetope
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Topetope
Tunda la Topetope lina kemikali muhimu ziitwazo α-pinene, sabinene na limonene
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda Topetope
Nishati = 94kcl
Jumla ya mafuta = 0.3g
Kabohaidreti = 24mg
Nyuzilishe = 4.4g
Protini = 2.1g
Maji = 73g
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Topetope lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.6mg
Kalishiamu = 24mg
Magineziamu = 21mg
Fosiforasi = 32mg
Potashiamu = 247mg
Sodiamu = 9mg
Kopa = 0.09mg
Zinki = 0.1mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Topetope lenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.110mg
Vitamini B2 = 0.113mg
Vitamini B3 = 0.883mg
Vitamini B5 = 0.226mg
Vitamini B6 =0.2mg
Vitamini B9 = 14mcg
Vitamini C = 36.3mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Topetope
Huimarisha mishipa ya damu pamoja na kuzuia shinikizo la juu la damu
Husisimua na kuimarisha hali ya mwili na akili
Huimarisha afya ya macho na kusaidia kuona
Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Huimarisha kinga ya mwili
Majina mengine
Topetope hufahamika pia kama Sugar-apple, Custard- apple
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:58:30
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Sugar apple nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Sugar-apples%2C_raw%2C_%28sweetsop%29_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 6.12.2021
Tsao R, Yang R, Xie S, Sockovie E, Khanizadeh S. Which polyphenolic compounds contribute to the total antioxidant activities of apple? J Agric Food Chem. 2005 Jun 15;53(12):4989-95. doi: 10.1021/jf048289h. PMID: 15941346. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/15941346/. Imechukuliwa 6. 12.2021
Li Y, Niu Y, Sun Y, Mei L, Zhang B, Li Q, et al. An apple oligogalactan potentiates the growth inhibitory effect of celecoxib on colorectal cancer. Nutr Cancer. 2014;66:29–37. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3183591/. Imechukuliwa 6. 12.2021