Mwandishi:
Mhariri:
Jumapili, 19 Desemba 2021
Uji wa shayiri
Ni dawa ya kunywa yenye asili ya peru, iliyotengenezwa na shayiri iliyochanganywa na mimea tiba.
Unaweza ongezea punje za shayiri, mbegu za pamba na limau iki kukifanya kiwe na virutubisho vingi Zaidi.
Kwa sasa aina mbalimbali za uji wa shayiri zinapatikana, lakini zote zina shayiri, mbegu za pamba na mimea ya tiba kwa pamoja.
Matumizi ya uji wa shayiri kama dawa
Unaweza ongeza mime ifuatayo kukifanya kuwa dawa;
Maca ili kuongeza nguvu ya tendo la ndoa.
Ukucha wa paka (uncaria tomentosa) kuimarisha kinga ya mwili au
Nyongeza ya mimea mingine pia inaweza fanyika kwa nia ya tiba
Wakati gani wa kutumia kimiminika cha shayiri?
Kimiminika cha shayiri hutumika kikiwa cha moto au kikiwa baridi na hakuna wakati maalumu wa kutumika kwani unaweza kukitumia asubuhi kama kifungua kinywa au mchana kama mlo.
Sifa
Huongeza mkojo
Hukinga mwili dhidi yam awe kwenye figo
Hulainisha haja kubwa
Huongeza mgen’enyo wa chakula
Hupunguza lehemu kwenye damu
Hushuisha
Kimeng’enyo
Hupunguza kiwango cha lehemu
Hupunguza ufyonzwaji wa sukari
Unaweza kujifunza zaidi namna ya kuandaa uji huu kwa kuuliza swali kwenye linki ya mawasiliano yetu chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Desemba 2021, 10:04:13
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Rasane, et al. “Nutritional advantages of oats and opportunities for its processing as value added foods - a review.” Journal of food science and technology vol. 52,2 (2015): 662-75. doi:10.1007/s13197-013-1072-1.
Pavadhgul P, et al. Oat porridge consumption alleviates markers of inflammation and oxidative stress in hypercholesterolemic adults. Asia Pac J Clin Nutr. 2019;28(2):260-265. doi: 10.6133/apjcn.201906_28(2).0008. PMID: 31192555.
Fulgoni, et al. “Oatmeal-Containing Breakfast is Associated with Better Diet Quality and Higher Intake of Key Food Groups and Nutrients Compared to Other Breakfasts in Children.” Nutrients vol. 11,5 964. 27 Apr. 2019, doi:10.3390/nu11050964.