Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Jumapili, 27 Machi 2022
Uyoga
Uyoga ni fangasi wanaoota ardhini na hutumika kama chakula, huwa na virutubisho murua kwa afya ya mwanadamu.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Uyoga
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Uyoga
Uyoga una kemikali muhimu Ziitwazo Terpenes na Oxalic Acid.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Uyoga wenye gramu 100
Nishati = 22kcal
Mafuta = 0.3g
Maji = 92.45g
Kabohaidreti = 3.3g
Sukari = 2g
Nyuzilishe = 1g
Protini = 3.1g
Vitamini zinazopatikana kwenye Uyoga wenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.081mg
Vitamini B2 = 0.402mg
Vitamini B3 = 3.607mg
Viatmini B5 = 1.497mg
Vitamini B6 = 0.104mg
Vitamini B9 = 17mcg
Vitamini C = 2.1mg
Vitamini E =0.01mg
Vitamini K = 1mg
Madini yanayopatikana kwenye Uyoga wenye gramu 100
Kalishiamu = 3mg
Kopa = 0.32mg
Madini Chuma = 0.5mg
Magineziamu = 9mg
Manganaizi = 0.047mg
Fosifolasi = 86mg
Potashiamu = 318mg
Sodiamu = 5mg
Zinki = 0.52mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Uyoga
Kuzuia magonjwa ya moyo
Kuweka msawazo wa sukari mwilini na kuzuia ugomnjwa wa kisukari
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuimarisha na kuongeza ubora wa mifupa
Kusaidia Kupunguza uzito
Kukukinga dhidi aina zote za saratani
Kusaidia Kupunguza kasi ya kuzeeka
Kuongeza hamu ya kula
Imeboreshwa,
3 Juni 2022, 17:50:24
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Mushrooms. https://www.nutritionvalue.org/Mushrooms%2C_raw%2C_white_nutritional_value.html. Imechukuliwa tarehe 10 January 2022
Jayachandran M, Xiao J, Xu B. A Critical Review on Health Promoting Benefits of Edible Mushrooms through Gut Microbiota. Int J Mol Sci. 2017 Sep 8;18(9):1934. doi: 10.3390/ijms18091934. PMID: 28885559; PMCID: PMC5618583. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/28885559/. Imechukuliwa tarehe 10 January 2022.
Guillamón E., GarcÃa-Lafuente A., Lozano M., et al. Edible mushrooms: role in the prevention of cardiovascular diseases. Fitoterapia. 2010;81(7):715–723. doi: 10.1016/j.fitote.2010.06.005. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC4320875/. Imechukuliwa tarehe 10 January 2022.