Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Sospeter M, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Zeituni
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda la Zeituni
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye tunda la Zeituni
Tunda la Zeituni lina kemikali muhimu Ziitwazo Oleic acid , Oleuropein na Squalene
Viinilishe vinavyopatikana kwenye gramu 100 za tunda la Zeituni
Nishati = 146kcl
Jumla ya mafuta = 15.32g
Sukari = 0.54g
Nyuzilishe = 3.3g
Protini = 1.03g
Kabohaidreti = 3.84g
Maji = 75.3g
Madini yanayopatikana kwenye Gramu 100 za Tunda la Zeituni
Madini chuma = 0.49mg
Kalishiamu = 52mg
Magineziamu = 11mg
Fosifolasi = 4mg
Potashiamu = 42mg
Sodiamu = 1556mg
Vitamini zinazopatikana kwenye gramu 100 za Tunda la Zeituni
Vitamin A = 20mcg
Vitamini B1 = 0.021mg
Vitamini B2 = 0.007mg
Vitamini B3 = 0.237mg
Vitamini B6 =0.031mg
Vitamini B9 = 3mcg
Choline = 14.2
Vitamini E = 3.81mg
Vitamini K = 1.4mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Zeituni
Huimarisha kinga ya mwili
Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwa kulainisha haja kubwa
Huzuia huzuia vidonda vya tumbo
Huimarisha afya ya moyo na kuzuia shinikizo la juu la damu
Huimarisha afya ya kongosho na kuzuia ugonjwa wa kisukari
Huukinga mwili dhidi ya saratani mbalimbali
Huimarisha afya ya ngozi
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 12:12:36
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Olive fruit nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Olives%2C_green%2C_canned_or_bottled%2C_pickled_nutritional_value.html. Imechukuliwa 8 .12. 2021
Markin D, Duek L, Berdicevsky I. In vitro antimicrobial activity of olive leaves. Mycoses. 2003 Apr;46(3-4):132-6. doi: 10.1046/j.1439-0507.2003.00859.x. PMID: 12870202. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/12870202/. Imechukuliwa 8 12.2021
. Soni MG, Burdock GA, Christian MS, Bitler CM, Crea R. Safety assessment of aqueous olive pulp extract as an antioxidant or antimicrobial agent in foods. Food Chem Toxicol. 2006;44:903–915. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC4057827/. Imechukuliwa 8.12. 2021.