Usipuuze Maarifa ya Afya - Shiriki Tafiti hii.
Mwandishi:
Mhariri:
Kitengo cha habari cha ULY CLINIC
Lugonda B, MD
Imeandikwa:
11 Machi 2026, 06:45:14

Tovuti ya ULY Clinic imeandaliwa kukupa elimu sahihi ya afya kutoka kwa wataalamu bila gharama. Kupitia tovuti hii unaweza kupata taarifa mbalimbali za afya kwa lugha rahisi na zinazoaminika.
Kwa sasa tunafanya tafiti ya kuboresha upatikanaji wa maarifa ya afya kwenye tovuti hii kwa kutumia Akili Unde (AI)Â ili iwe rahisi zaidi kwa watu kupata elimu ya afya wanayohitaji na iliyothibitishwa na wataalamu wa Afya.
Tunatafuta washiriki 380Â watakaosaidia kutoa maoni yao kupitia dodoso fupi.
Ushiriki wako utasaidia kuboresha huduma hii
Utachangia kuimarisha elimu ya afya kwa jamii
Taarifa zako zitahifadhiwa kwa usiri na hatuchukui taarifa binafsi kama jina, email, namba ya simu n.k
👉 Shiriki tafiti hapa:
Inachukua dakika chache tu kushiriki.
Asante kwa kuwa sehemu ya kuboresha upatikanaji wa maarifa ya afya kwa jamii.
Imeboreshwa
11 Machi 2026, 06:47:13
