top of page

Nani yupo hatarini

 

Imeandaliwa na madaktari wa ULY-Clinic

Watu wote waishio katika ukanda wa jangwa la sahara, waishio bara la asia, amerika na mashariki ya kati wapo hatarini kupata malaria. Pia watu wa mabara mengine wanaotembelea maeneo haya huwa hatarini kupata malaria.

 

 

  • Vichanga

  • Watoto walio chini ya umri wa miaka 5

  • Wanawake wajawazito

  • Wagonjwa wa virusi vya ukimwi

  • Wageni kwenye nchi zenye malaria ambao hawana kinga dhidi ya malaria

 

Imepitiwa 11/4/2016

imepitishwa 3/3/2015

bottom of page