top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt.Adolf S, MD

Dkt. Benjamin L, MD

26 Septemba 2022 19:30:21

Azicure

Azicure ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Azithromycin. Dawa hii ipo katika kundi la macrolide na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali kama vile magonjwa ya zinaa, UTI, nimonia nk.


Uzito wa Azicure


Azicure hupatikana katika fomu ya vidonge, dawa ya sindano na dawa ya maji katika uzito ufuatao:


Vidonge

  • Miligramu 250

  • Miligramu 500


Dawa ya maji

  • Miligramu 100 katika ujazo wa mililita 5 (100 mg/5 ml)

  • Miligramu 200 katika ujazo wa mililita 5 (200 mg/5 ml)


Dawa ya sindano

Miligramu 500 katika chupa moja (500 mg/vial)


Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu Azicure?



Majina mengine ya kibiashara ya azicure


Majina mengine ya kibiashara yanayofayika au kufanana kama azithromycin au azicure ni pamoja na:


  • 3Z

  • ABACTEN

  • ARZOMICINA

  • ASIPRAL

  • ATIZOR

  • ATROMICIN

  • AZADOSE

  • AZASITE

  • AZENIL

  • AZI

  • AZIMAX

  • AZITRAX

  • AZITRIX

  • AZITROCIN

  • AZITROCIN

  • AZITROM

  • AZITROMAX

  • AZITROMERCK

  • AZITROMIN

  • AZITRON

  • AZUMA

  • AZITROX

  • AZITROXIL

  • AZOMYCIN

  • CLINDAL

  • CLINDAZ

  • FARMIZ

  • GIGATROM

  • GOXIL

  • MAZITROM

  • MERCKAZITRO

  • NEOFARMIZ

  • NOVATREX

  • RIBOTREX

  • RICILINA

  • SELIMAX

  • SUMAMED

  • TORASEPTOL

  • TREX

  • TROZOCINA

  • TROZYMAN

  • ULTREON

  • UNIZITRO

  • VINZAM

  • ZAHA

  • ZENTAVION

  • ZETO

  • ZIMICINA

  • ZITHROMAX

  • ZITROMAX

  • ZITRONEO

  • ZITROZINA

  • ZMAX

  • Z-PAK

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

Imeboreshwa:

26 Septemba 2022 19:30:21

bottom of page