Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
11 Novemba 2021, 18:56:51
Majina mengine ya azithromycin ni yapi?
Azithromycin ni antibayotiki jamii ya macrolide inayotumika kutibu maradhi mbalimbali yanayosababishwa na bakteria wanaodhurika na dawa hii.
Majina mengine ya azithromycin
Majina ya kibiashara ya azithromycin ni;
3Z
ABACTEN
ARZOMICINA
ASIPRAL
ATIZOR
ATROMICIN
AZADOSE
AZASITE
AZENIL
AZI
AZIMAX
AZITRAX
AZITRIX
AZITROCIN
AZITROCIN
AZITROM
AZITROMAX
AZITROMERCK
AZITROMIN
AZITRON
AZUMA
AZITROX
AZITROXIL
AZOMYCIN
CLINDAL
CLINDAZ
FARMIZ
GIGATROM
GOXIL
MAZITROM
MERCKAZITRO
NEOFARMIZ
NOVATREX
RIBOTREX
RICILINA
SELIMAX
SUMAMED
TORASEPTOL
TREX
TROZOCINA
TROZYMAN
ULTREON
UNIZITRO
VINZAM
ZAHA
ZENTAVION
ZETO
ZIMICINA
ZITHROMAX
ZITROMAX
ZITRONEO
ZITROZINA
ZMAX
Z-PAK
Kumbuka
Unapaswa kuwasiliana na daktari wakokwa ushauri na tiba kabla ya kutumia dawa hii ili kuepuka madharana na usugu wa vimelea kwenye dawa kutokana na matumizi ya kiholela.
Unapata wapi taarifa zaidi kuhusu azithromycin?
Soma zaidi kuhusu azithromycin kwenye makala zingine za azithromycin inatibu nini? azithromycin na zaha inatibu nini? ndani ya tovuti hii.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
11 Novemba 2021, 18:56:51
Rejea za mada hii
Mayoclinic.azithromycin. https://www.mayoclinic.org/drugs-supplements/azithromycin-oral-route/description/drg-20072362. Imechukuliwa 11.11.2021
Drugbank. Azithromycin. https://www.drugs.com/ingredient/azithromycin.html. Imechukuliwa 11.11.2021