Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt. Benjamin L, MD
Dkt. Salome A, MD
5 Juni 2022 13:29:06
Ceft
Ceft ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama ceftriaxone. Ceftriaxone ni antibayotiki ya kizazi cha tatu cha cephalosporin yenye uwanja mpana wa kutibu magonjwa yanayotokana na maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii katika mfumo wa upumuaji, mkojo, tishu laini n.k
Uzito wa ceftriaxone
Ceft 500mg humaanisha ceftriaxone yenye uzito wa miligramu 500
Ceft 1gm humaanisha ceftriaxone yenye uzito wa miligramu 500
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Ceftriaxone?
Soma maelezo ya Ceftriaxone kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:
Majina mengine ya kibiashara ya Ceftriaxone
Majina mengine yanayoashiria Ceftriaxone ni:
Rocephin
Brand Name
Acticef (1g)
Acticef (250mg)
Alcef (1000mg)
Alcef (125mg)
Alcef (250mg)
Alcef (500mg)
Auricef (1g)
Cefast (1000mg)
Cefast (125mg)
Cefast (250mg)
Cefast (500mg)
Cefbact Inj (1000mg)
Cefbact Inj (250mg)
Cefbact Inj (500mg)
Cefmac (1000mg)
Cefmac (250mg)
Cefmac (500mg)
Ceftrica (1000mg)
Ceftrica (250mg)
Cefzet (1000mg)
Cefzet (250mg)
Cefzet (500mg)
Cetazone (1000mg)
Cetazone (250mg)
Cetriax (1000mg)
Cetriax (250mg)
Corcef
C-Tri (1000mg)
C-Tri (125mg)
C-Tri (2000mg)
C-Tri (250mg)
C-Tri (500mg)
Doczone (1g)
Encef
Extacef-I (125mg)
Extacef-I (1g)
Extacef-I (250mg)
Extacef-I (500mg)
Gentrax (1g)
Gentrax (250mg)
Gentrax (500mg)
Glen (1g)
Glen (250mg)
Glen (500mg)
Glicef (1g)
Glicef (250mg)
Gramocef (1g)
Gramocef (250mg)
Gramocef-2G (2g)
Gutencef (1g)
Gutencef (250mg)
Igracef (1000mg)
Igracef (250mg)
Incef INJ (125mg)
Incef INJ (1g)
Incef INJ (250mg)
Incef INJ (2g)
Incef INJ (500mg)
Isozone (1g)
Isozone (250mg)
Isozone (500mg)
Kafi (1g)
Kafi (250mg)
Kafi (500mg)
Keftra (125mg)
Keftra (1g)
Keftra (250mg)
Keftra (300mg)
Lisel (1g)
Lisel (250mg)
Lisel (500mg)
Lupitrix (1g)
Lyceft (1g)
Lyceft (250mg)
Lyceft (500mg)
Maczone (1g)
Maczone (250mg)
Maczone (500mg)
Mahacef Inj (1g)
Mahacef Inj (250mg)
Mahacef Inj (500mg)
Malocef
Morbicef Inj (1g)
Nexef-O (1g)
Nexef-O (250mg)
Nexef-O (500mg)
Nixocef (1000mg)
Novaceft (125mg)
Novaceft (1g)
Novaceft (250mg)
Novaceft (500mg)
Oframax (125mg)
Oframax (1g)
Oframax (250mg)
Oframax (2g)
Oframax (500mg)
Omisafe (1g)
Omisafe (250mg)
Omisafe (500mg)
Omna One (1g)
Omna One (250mg)
Oncef (1g)
Oncef (250mg)
Oncef (500mg)
Pfitrax (1g)
Pfitrax (250mg)
Pfitrax (500mg)
Powercef (125mg)
Powercef (1g)
Powercef (250mg)
Powercef (500mg)
Primecef (1g)
Riaceft (1000mg)
Sicef (1g)
Sicef (250mg)
Sicef (500mg)
Sulbasure-P (1g)
Suprava (0.5g)
Suprava (1g)
Trialex (1000mg)
Trialex (250mg)
Trialex (500mg)
Trixon (125mg)
Trixon (1g)
Trixon (250mg)
Trixon (500mg)
Trustcef (0.5g)
Trustcef (1g)
Trycef 1 gm Inj.
Unixone (1g)
Varcef (1g)
Varcef (250mg)
Vikcef (250mg)
Vikcef (500mg)
Viocef Inj (1000mg)
Winceft
Zefone (1g)
Zefone (250mg)
Zetox
Zetri (1g)
Zetri (250mg)
Zetri (500mg)
Zipod-X (1g)
Zonos (1g)
Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:
Ceftriaxone ni dawa gani?, Ceftriaxone ni nini?, Ceftriaxone inatibu nini?, Ceftriaxone hutibu nini?, Ceftriaxone inatibu ugonjwa gani?, Ceftriaxone inaruhusiwa kutumika na pombe?, Ceftriaxone na pombe, Dawa ya Ceftriaxone, mjamzito anaweza tumia Ceftriaxone?, Ceftriaxone naitumiaje?, Ceftriaxone ni dawa ya nini?, Ceftriaxone inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Ceftriaxone kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Ceftriaxone, Ceftriaxone ina madhara?, Ceftriaxone hukaa muda gani mwilini?
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
MSD. Ceftriaxone. https://www.msdmanuals.com/professional/infectious-diseases/bacteria-and-antibacterial-drugs/cephalosporins. Imechukuliwa 05/06/2022
Medscape. Ceftriaxone. https://reference.medscape.com/drug/rocephin-ceftriaxone-342510#3. Imechukuliwa 05/06/2022
FDA.ceftriaxone. https://www.accessdata.fda.gov/drugsatfda_docs/label/0550585s063lbl.pdf
Imechukuliwa 05/06/2022N C Klein, et al. Third-generation cephalosporins. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/7791418/. Imechukuliwa 05/06/2022
Drugs.com. Third-generation cephalosporins. https://www.drugs.com/drug-class/third-generation-cephalosporins.html. Imechukuliwa 05/06/2022
Imeboreshwa:
27 Septemba 2022 18:58:57