top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Benjamin L, MD

Dkt. Mangwella S, MD

27 Septemba 2022 18:21:42

Doxlin LB

Doxlin LB ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama doxycycline ambayo hutumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria.


Baadhi ya maambukizi inayotibu ni chunusi, homa ya matumbo, homa ya riketsia, kisonono, klamidia, magonjwa ya fizi na mengine.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Doxlin LB


Soma maelezo zaidi ya Doxlin LB na magonjwa yanayotibiwa na dawa, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:Majina mengine ya kibiashara ya doxycycline


Majina mengine yanayoashiria Doxycycline ni:


 • Vibramycin

 • Doxlin

 • Doryx

 • Doryx MPC

 • Oracea

 • Acticlate

 • Atridox

 • Doxy 100

 • Doxy 200


Maswali yanayojibiwa na mada


Mada hii inasaidia kukupa maelezo au kiungo cha kupata majibu ya maswali yafuatayo:


 • Doxlin LB ni dawa gani?

 • Doxlin LB ni nini?

 • Doxlin LB inatibu nini?

 • Doxlin LB hutibu nini?

 • Doxlin LB inatibu ugonjwa gani?

 • Doxlin LB inaruhusiwa kutumika na pombe?

 • Doxlin LB na pombe

 • Dawa ya Doxlin LB

 • Mjamzito anaweza tumia Doxlin LB?

 • Doxlin LB inaitumiaje?

 • Doxlin LB ni dawa ya nini?

 • Doxlin LB inafanya kazi baada ya masaa mangapi?

 • Je, Doxlin LB kwa siku unakunywa vidonde vingapi?

 • Matumizi ya Doxlin LB

 • Doxlin LB ina madhara?

 • Doxlin LB hukaa muda gani mwilini?


Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

 1. Doxycycline. Healthline. https://www.healthline.com/health/drugs/doxycycline-cost. Imechukuliwa 27.09.2022

 2. TATA 1mg. Doxlin Capsule. https://www.1mg.com/drugs/Doxlin LB LB-lb-capsule-601996. Imechukuliwa 27.09.2022

 3. Generic drugs. Doxlin LB. https://www.1mg.com/drugs/doxlin-lb-capsule-601996. Imechukuliwa 27.09.2022

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:57:43

bottom of page