top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Sospeter B, MD

Dkt. Lugonda M, MD

27 Septemba 2022 18:37:14

Doxy 100

Doxy 100 ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria jamii ya tetracycline inayofahamika kama doxycycline ambayo hutumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria.


Baadhi ya maambukizi inayotibu ni chunusi, homa ya matumbo, homa ya riketsia, kisonono, klamidia, magonjwa ya fizi na mengine.


Kwanini huitwa doxy 100?


Doxy 100 hutumika kumaanisha dawa ya doxycycline yenye uzito wa gramu 100 ambayo hupatikana kama tembe.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Doxy 100


Soma maelezo zaidi ya Doxy 100 na magonjwa yanayotibiwa na dawa, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:


Majina mengine ya kibiashara ya doxycycline


Majina mengine yanayoashiria Doxycycline ni:


 • Vibramycin

 • Doxlin

 • Doxlin LB

 • Doryx

 • Doryx MPC

 • Oracea

 • Acticlate

 • Atridox

 • Doxy 200


Maswali yanayojibiwa na mada y Doxy 100


Mada hii inasaidia kukupa maelezo au kiungo cha kupata majibu ya maswali yafuatayo:


 • Doxy 100 ni dawa gani?

 • Doxy 100 ni nini?

 • Doxy 100 inatibu nini?

 • Doxy 100 hutibu nini?

 • Doxy 100 inatibu ugonjwa gani?

 • Doxy 100 inaruhusiwa kutumika na pombe?

 • Doxy 100 na pombe

 • Dawa ya Doxy 100

 • Mjamzito anaweza tumia Doxy 100?

 • Doxy 100 inaitumiaje?

 • Doxy 100 ni dawa ya nini?

 • Doxy 100 inafanya kazi baada ya masaa mangapi?

 • Je, Doxy 100 kwa siku unakunywa vidonde vingapi?

 • Matumizi ya Doxy 100

 • Doxy 100 ina madhara?

 • Doxy 100 hukaa muda gani mwilini?

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

 1. Doxycycline. Healthline. https://www.healthline.com/health/drugs/doxycycline-cost. Imechukuliwa 27.09.2022

 2. TATA 1mg. Doxy 100. https://www.1mg.com/drugs/doxy-100mg-tablet-669635. Imechukuliwa 27.09.2022

 3. Appolopharmacy. Doxy 100 tablet. https://www.apollopharmacy.in/medicine/doxy-100-mg-tablet-8-s. Imechukuliwa 27.09.2022

 4. Drugs.com. Doxy 100. https://www.drugs.com/cdi/doxy-100.html. Imechukuliwa 27.09.2022

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:58:13

bottom of page