top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Benjamin L, MD

Dkt. Sospeter M, MD

27 Septemba 2022 18:41:06

Doxy 200

Doxy 200 ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria jamii ya tetracycline inayofahamika kama doxycycline ambayo hutumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria.


Baadhi ya maambukizi inayotibu ni chunusi, homa ya matumbo, homa ya riketsia, kisonono, klamidia, magonjwa ya fizi na mengine.


Kwanini huitwa Doxy 200?


Doxy 200 hutumika kumaanisha dawa ya doxycycline yenye uzito wa gramu 200 ambayo hupatikana kama tembe na dawa ya kuchoma kwenye mishipa.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Doxy 200


Soma maelezo zaidi ya Doxy 200 na magonjwa yanayotibiwa na dawa, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya doxycycline


Majina mengine yanayoashiria Doxycycline ni:


  • Vibramycin

  • Doxlin

  • Doxlin LB

  • Doryx

  • Doryx MPC

  • Oracea

  • Acticlate

  • Atridox

  • Doxy 100


Maswali yanayojibiwa na mada y Doxy 200


Mada hii inasaidia kukupa maelezo au kiungo cha kupata majibu ya maswali yafuatayo:


  • Doxy 200 ni dawa gani?

  • Doxy 200 ni nini?

  • Doxy 200 inatibu nini?

  • Doxy 200 hutibu nini?

  • Doxy 200 inatibu ugonjwa gani?

  • Doxy 200 inaruhusiwa kutumika na pombe?

  • Doxy 200 na pombe

  • Dawa ya Doxy 200

  • Mjamzito anaweza tumia Doxy 200?

  • Doxy 200 inaitumiaje?

  • Doxy 200 ni dawa ya nini?

  • Doxy 200 inafanya kazi baada ya masaa mangapi?

  • Je, Doxy 200 kwa siku unakunywa vidonde vingapi?

  • Matumizi ya Doxy 200

  • Doxy 200 ina madhara?

  • Doxy 200 hukaa muda gani mwilini?

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

  1. Doxycycline. Healthline. https://www.healthline.com/health/drugs/doxycycline-cost. Imechukuliwa 27.09.2022

  2. TATA 1mg. Doxy 100. https://www.1mg.com/drugs/doxy-100mg-tablet-669635. Imechukuliwa 27.09.2022

  3. Appolopharmacy. Doxy 200 tablet. https://www.apollopharmacy.in/medicine/doxy-100-mg-tablet-8-s. Imechukuliwa 27.09.2022

  4. Drugs.com. Doxy 100. https://www.drugs.com/cdi/doxy-100.html. Imechukuliwa 27.09.2022

  5. Medscape. Doxy 200 intravenous. https://www.webmd.com/drugs/2/drug-10109/doxy-200-intravenous/details. Imechukuliwa 27.09.2022

  6. Drugs.com Doxy 200. https://www.drugs.com/sfx/doxy-200-side-effects.html. Imechukuliwa 27.09.2022

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:57:01

bottom of page