top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:18

Dawa ya saikosisi (antipsychotic)

Dawa ya saikosisi (antipsychotic)

Majina mengine: antipsychotic (Kiingereza)


Aina ya neno: aina ya dawa


Maana: dawa zinazopunguza dalili za saikosisi.


Maelezo zaidi


  • Mifano: haloperidol, chlorpromazine, risperidone, olanzapine; baadhi hutolewa kwa sindano ya kila mwezi.

  • Madhara: misuli kukakamaa au kutetemeka, kukosa utulivu, usingizi, kuongezeka uzito na sukari.

  • Kuacha dawa ghafla ndicho chanzo kikuu cha ugonjwa kurudi.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Misuli kukakamaa sana pamoja na homa kali na kuchanganyikiwa baada ya kuanza dawa – ni dharura.


Tazama pia: Skizofrenia (schizophrenia), Mkakamao wa misuli usio wa hiari (distonia)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page