top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Novemba 2026, 15:48:56

Dawa zisizohitaji cheti (OTC)
Majina mengine: OTC, over-the-counter (Kiingereza); dawa za dukani
Aina ya neno: neno la dawa
Maana: dawa zilizoruhusiwa kuuzwa bila cheti kwa sababu ni salama zikitumika kwa usahihi.
Maelezo zaidi
Soma lebo: dozi, mara ngapi kwa siku, na kiwango cha juu cha siku.
Hata dawa hizi zinaweza kuleta madhara zikizidishwa au zikitumika na dawa nyingine.
Antibiotiki si dawa za dukani – zinahitaji cheti cha dawa.
Tazama pia: Cheti cha dawa
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

