top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:15

Gegedu (cartilage)

Gegedu (cartilage)

Majina mengine: cartilage (Kiingereza)


Aina ya neno: tishu ya mwili


Maana: tishu ya kuunganisha isiyo na mishipa ya damu.


Maelezo zaidi


  • Kwa sababu haina mishipa ya damu, hupona polepole ikiumia.

  • Kuchakaa kwa gegedu ya maungio ndicho chanzo cha osteoarthritis (maumivu ya magoti na nyonga kwa wazee).


Tazama pia: Ndewe ya sikio (pinna), Maumivu ya maungio (athralijia)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page