top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:11:16
Glukagoni (glucagon)
Majina mengine: glukagoni; glucagon (Kiingereza)
Aina ya neno: homoni / dawa
Maana: homoni ya seli za alpha za kongosho inayoongeza glukosi ya damu.
Maelezo zaidi
Hutolewa zaidi mtu akiwa na njaa au sukari ikishuka.
Kama dawa: sindano ya glukagoni hutolewa kwa mwenye kisukari aliyepoteza fahamu kwa sababu ya sukari kushuka, kabla ya kufika hospitali.
Tazama pia: Sukari kushuka (hypoglycaemia); Glukagonoma (glucagonoma)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

