top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:11:16
Glukagonoma (glucagonoma)
Majina mengine: glukagonoma; glucagonoma (Kiingereza)
Aina ya neno: ugonjwa (uvimbe)
Maana: uvimbe wa seli za alpha za kongosho.
Maelezo zaidi
Dalili: kisukari kipya, kupungua uzito, upele mwekundu unaochubuka (hasa kinena na miguu), vidonda mdomoni, kuharisha, damu kuganda.
Hutambuliwa kwa kupima glukagoni na picha za kongosho; hutibiwa kwa upasuaji na dawa.
Tazama pia: Glukagoni (glucagon); Gastrinoma
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

