top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

8 Novemba 2026, 11:56:45

Harufu mbaya ya kinywa (halitosisi)

Harufu mbaya ya kinywa (halitosisi)

Majina mengine: halitosis, bad breath (Kiingereza)


Aina ya neno: dalili


Maana: harufu mbaya ya pumzi.


Maelezo zaidi


  • Ndani ya kinywa: usafi duni, kuoza kwa meno, fizi kuvimba na kutoa damu, kinywa kukauka, sigara.

  • Nje ya kinywa: uvimbekinga wa pua na sinasi, uvimbekinga wa mafindofindo, kisukari kisichodhibitiwa (harufu ya matunda), figo kushindwa kufanya kazi, ini kushindwa kufanya kazi.

  • Piga mswaki mara 2 kwa siku na safisha ulimi; muone daktari wa meno.


Tazama pia: Utando wa bakteria kwenye meno (dental plaque), Kinywa kukauka (zerostomia)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page