top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:18

Kinywa kukauka (zerostomia)

Kinywa kukauka (zerostomia)

Majina mengine: dry mouth, xerostomia (Kiingereza)


Aina ya neno: dalili


Maana: upungufu wa mate kinywani.


Maelezo zaidi


  • Visababishi: upungufu wa maji, dawa (za sonona, za mzio, za kuongeza mkojo, za akili), kisukari, mionzi ya kichwa na shingo, magonjwa ya kinga (Sjögren), kupumua kwa mdomo, uzee.

  • Kunywa maji kidogo kidogo, kutafuna big-G isiyo na sukari, kupunguza kahawa na pombe, usafi wa meno.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Pamoja na kiu kubwa na kukojoa sana (pima kisukari), au macho kukauka pia.


Tazama pia: Harufu mbaya ya kinywa (halitosisi), Kisukari (diabetes mellitus)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page