top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:11:16

Homoni ya ukuaji (growth hormone)

Homoni ya ukuaji (growth hormone)

Majina mengine: growth hormone, GH, somatotropin (Kiingereza)


Aina ya neno: homoni


Maana: homoni ya pituitari inayofanya kazi kupitia IGF-1 inayotengenezwa na ini.


Maelezo zaidi


  • Hutolewa zaidi usiku wakati wa usingizi mzito, na wakati wa mazoezi.

  • Upungufu kwa watoto: ukuaji wa polepole na ufupi; hutibiwa kwa sindano za homoni.

  • Kuzidi: kwa watoto huleta urefu kupita kiasi (gigantism); kwa watu wazima huleta akromegali.


Tazama pia: Akromegali (acromegaly)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page