top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
15 Novemba 2026, 07:51:30
Kidaka (uvula)
Majina mengine: kimeo; uvula (Kiingereza)
Aina ya neno: sehemu ya mwili
Maana: ncha ya kaakaa laini.
Maelezo zaidi
Kukata kidaka kwa waganga wa kienyeji kwa watoto ni hatari – huleta kuvuja damu nyingi, maambukizi makali na kifo; hakina faida yoyote.
Kidaka kuvimba ghafla huweza kuwa mzio mkali – dharura ikiambatana na kupumua kwa shida.
Tazama pia: Uvimbekinga wa kidakatonge (epiglottitis), Koromeo (pharynx)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

