top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
8 Novemba 2026, 11:56:45

Koromeo (pharynx)
Majina mengine: falinks; koo; pharynx (Kiingereza); wingi: falinjes
Aina ya neno: sehemu ya mwili
Maana: mrija wa misuli unaounganisha pua na mdomo na umio na zoloto.
Maelezo zaidi
Ina mafindofindo (tonsils) na adenoids zinazosaidia kinga.
Uvimbekinga wake huitwa pharyngitis (maumivu ya koo).
Wakati wa kumeza, kidakatonge hufunika zoloto ili chakula kisiingie kwenye njia ya hewa.
Tazama pia: Kumeza kwa shida (disifeijia)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

