top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:16

Kujichubua ngozi (skin bleaching)

Kujichubua ngozi (skin bleaching)

Majina mengine: skin lightening, skin bleaching (Kiingereza)


Aina ya neno: tabia yenye madhara


Maana: kupunguza rangi ya ngozi kwa kemikali.


Maelezo zaidi


  • Madhara: ngozi kuwa nyembamba na kupasuka kwa mistari, chunusi, fangasi, madoa meusi ya kudumu (ochronosis), vidonda kupona polepole, sumu ya zebaki kwenye figo na neva, steroidi kuathiri homoni.

  • Bidhaa nyingi hizi zimepigwa marufuku Tanzania.

  • Kuacha kutumia na kumuona mtaalamu wa ngozi husaidia ngozi kupona.


Tazama pia: Sumu ya zebaki (mercury poisoning), Ngozi kuwa nyeusi zaidi (haipapigimentesheni)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page