top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:12
Sumu ya zebaki (mercury poisoning)
Majina mengine: mercury poisoning (Kiingereza)
Aina ya neno: sumu
Maana: zebaki kuzidi mwilini.
Maelezo zaidi
Dalili: kutetemeka, fizi kuvimba na kutoa damu, mabadiliko ya tabia na kumbukumbu, ganzi, matatizo ya figo.
Wajawazito na watoto wako hatarini zaidi – huharibu ubongo wa mtoto tumboni.
Kinga: kuchoma zebaki nje ya makazi kwa vifaa maalum (retort), kutotumia krimu za kuchubua ngozi.
Tazama pia: Sumu ya risasi (lead poisoning), Kujichubua ngozi (skin bleaching)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

