top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:18
Kukojoa mkojo kidogo sana (oligyuria)
Majina mengine: oliguria (Kiingereza)
Aina ya neno: dalili / kiashiria
Maana: kupungua sana kwa kiasi cha mkojo.
Maelezo zaidi
Visababishi: upungufu wa maji (kuharisha, kutapika, joto), kuvuja damu, sepsisi, malaria kali, jeraha la ghafla la figo, kizuizi cha njia ya mkojo.
Kwa watoto: kukosa kukojoa (nepi kavu) kwa masaa 6–8 ni dalili ya upungufu wa maji.
Lini umwone mtaalamu wa afya
Kukojoa kidogo sana kwa masaa 12 au zaidi, au pamoja na kuchanganyikiwa, kuvimba au kupumua kwa shida.
Tazama pia: Jeraha la ghafla la figo (AKI), Kukosa mkojo kabisa (anyuria)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

