top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:16

Kukosa mkojo kabisa (anyuria)

Kukosa mkojo kabisa (anyuria)

Majina mengine: anuria (Kiingereza)


Aina ya neno: dalili / dharura


Maana: kukoma kwa utoaji wa mkojo.


Maelezo zaidi


  • Tofautisha na kushindwa kukojoa (kibofu kimejaa lakini mkojo hautoki – tumbo la chini huvimba na kuuma), mara nyingi tezi dume – hutatuliwa kwa katheta.

  • Hutibiwa kwa kuondoa kizuizi au dialysis.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Kila hali ya kutokojoa kwa saa 12 au zaidi – nenda hospitali mara moja.


Tazama pia: Kukojoa mkojo kidogo sana (oligyuria), Jeraha la ghafla la figo (AKI)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page