top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Oktoba 2026, 17:28:12
Kundi la majipu (carbuncle)
Majina mengine: carbuncle (Kiingereza)
Aina ya neno: ugonjwa wa ngozi
Maana: maambukizi ya vinyweleo kadhaa vilivyo jirani.
Maelezo zaidi
Huwapata zaidi wenye kisukari, wazee na wenye kinga dhaifu.
Hutibiwa kwa kupasua na kutoa usaha na antibiotiki.
Lini umwone mtaalamu wa afya
Kila kundi la majipu – hasa kwa mwenye kisukari au homa.
Tazama pia: Jipu la kinyweleo (furuncle), Kisukari (diabetes mellitus)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

