top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
8 Novemba 2026, 11:56:45
Jipu la kinyweleo (furuncle)
Majina mengine: boil, furuncle (Kiingereza)
Aina ya neno: ugonjwa wa ngozi
Maana: jipu la kinyweleo na tishu zinazokizunguka.
Maelezo zaidi
Majipu madogo hupona kwa kukandwa kwa kitambaa cha maji ya moto mara kadhaa kwa siku.
Usikamue – hasa majipu ya usoni.
Majipu yanayojirudia: pima kisukari na VVU.
Lini umwone mtaalamu wa afya
Jipu kubwa, la usoni, linaloambatana na homa, au majipu yanayojirudia.
Tazama pia: Kundi la majipu (carbuncle), Kupasua na kutoa usaha (incision and drainage)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 17:28:03
bottom of page

