top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:16

Kuota nywele nyingi kupita kiasi (haipatrikosisi)

Kuota nywele nyingi kupita kiasi (haipatrikosisi)

Majina mengine: hypertrichosis (Kiingereza)


Aina ya neno: kiashiria (sign)


Maana: kuongezeka kwa nywele bila kutegemea androjeni.


Maelezo zaidi


  • Hutofautiana na hirsutism – mwanamke kuota nywele kwenye maeneo ya kiume (ndevu, kifua) kutokana na homoni za kiume (mf. PCOS).

  • Visababishi: dawa (minoxidil, ciclosporin, fenitoini, steroidi), utapiamlo mkali, anorexia nervosa, homoni za tezi ya shingo kupungua, kurithi.


Tazama pia: Upungufu wa homoni za tezi ya shingo (hypothyroidism)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page