top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Novemba 2026, 15:48:56

Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)

Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)

Majina mengine: UTI; U.T.I; urinary tract infection (Kiingereza)


Aina ya neno: ugonjwa


Maana: vimelea kuingia na kuzaliana kwenye mfumo wa mkojo.


Maelezo zaidi


  • Dalili: kukojoa kwa maumivu au kuungua, kukojoa mara kwa mara, kubanwa ghafla na mkojo, mkojo wenye harufu au damu, maumivu ya chini ya tumbo.

  • Dalili za hatari (figo): homa, kutetemeka kwa baridi, maumivu ya kiuno/mbavu, kutapika.

  • Hutambuliwa kwa kipimo cha mkojo; hutibiwa kwa antibiotiki kwa maelekezo ya mtaalamu wa afya – usitumie dawa bila kupima.


Tazama pia: Kuotesha vimelea na kupima usugu (culture and sensitivity)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 16:34:25

bottom of page