top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

15 Novemba 2026, 07:51:30

Mfereji wa nje wa sikio (external auditory canal)

Mfereji wa nje wa sikio (external auditory canal)

Majina mengine: external auditory canal, ear canal (Kiingereza)


Aina ya neno: sehemu ya mwili


Maana: mfereji wa nje wa sikio.


Maelezo zaidi


  • Usiingize vijiti vya pamba, vibanio au vitu vingine – husukuma nta ndani na kuumiza ngozi au kiwambo.

  • Maji yakikaa ndani muda mrefu huleta uvimbekinga wa mfereji wa nje wa sikio.


Tazama pia: Nta ya sikio (cerumen), Uvimbekinga wa mfereji wa nje wa sikio (otitis externa)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page