top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Oktoba 2026, 17:28:16

Mpasuko wa njia ya haja kubwa (anal fissure)

Mpasuko wa njia ya haja kubwa (anal fissure)

Majina mengine: anal fissure (Kiingereza)


Aina ya neno: ugonjwa


Maana: mchaniko wa ngozi ya mfereji wa haja kubwa.


Maelezo zaidi


  • Wengi hupona ndani ya wiki 6 kwa kulainisha choo: maji mengi, nyuzinyuzi, matunda, mboga.

  • Kukaa kwenye maji ya uvuguvugu dakika 10–15 mara 2–3 kwa siku hupunguza maumivu.

  • Mpasuko sugu hutibiwa kwa dawa za kupaka zinazolegeza misuli au upasuaji mdogo.


Lini umwone mtaalamu wa afya


  • Damu nyingi, maumivu yasiyopona baada ya wiki 6, au mpasuko usio katikati (huchunguzwa kwa magonjwa mengine).


Tazama pia: Kukaa kwenye maji ya uvuguvugu (sitz bath), Mlango wa haja kubwa

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page