top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Novemba 2026, 15:48:56

Ovulesheni (ovulation)
Majina mengine: ovulation (Kiingereza); kupevuka kwa yai; kutolewa kwa yai
Aina ya neno: mchakato wa mwili (uzazi)
Maana: kutolewa kwa yai kutoka kwenye ovari, mara moja kila mzunguko wa hedhi.
Maelezo zaidi
Yai huishi saa 12–24; mbegu za mwanaume huweza kuishi hadi siku 5 ndani ya njia ya uzazi.
Siku za hatari ya kushika mimba ni takriban siku 5 kabla ya ovulesheni hadi siku moja baada yake.
Dalili zinazoweza kuonekana: ute wa ukeni kuwa mwingi, wazi na unaovutika, maumivu kidogo upande mmoja wa tumbo, na joto la mwili kupanda kidogo.
Tazama pia: Kukokotoa siku ya uovuleshaji; Mzunguko wa hedhi
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

