top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

8 Novemba 2026, 11:56:45

Uvimbekinga wa vinyweleo (folliculitis)

Uvimbekinga wa vinyweleo (folliculitis)

Majina mengine: folliculitis (Kiingereza); Uvimbe wa vinyweleo


Aina ya neno: ugonjwa wa ngozi


Maana: uvimbekinga wa kinyweleo.


Maelezo zaidi


  • Visababishi: bakteria (Staphylococcus), kunyoa, nguo za kubana, jasho, fangasi; kunyoa kwa wembe kwa wanaume wenye nywele za kujikunja (pseudofolliculitis).

  • Hutibiwa kwa usafi, kuacha kunyoa kwa muda, dawa za kupaka; antibiotiki kwa hali kubwa.


Tazama pia: Jipu la kinyweleo (furuncle), Vipele vya usaha (pustular rash)

Imeandikwa:

29 Oktoba 2026, 17:28:03

bottom of page