top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
Dkt. Mangwella S, MD
3 Novemba 2026, 15:48:56

Virusi vya homa ya ini (hepatitis viruses)
Majina mengine: kirusini; hepatitis viruses (Kiingereza); HAV, HBV, HCV, HDV, HEV
Aina ya neno: kimelea (virusi)
Maana: kundi la virusi vinavyosababisha hepatitis.
Maelezo zaidi
A na E: kupitia chakula na maji machafu (njia ya kinyesi-mdomo).
B: damu, kujamiana, mama kwa mtoto – ina chanjo; inaweza kuwa sugu.
C: hasa kupitia damu – hutibika kwa dawa za kisasa.
D: huishi tu kwa mtu mwenye B; chanjo ya B huzuia D pia.
Tazama pia: Homa ya ini (hepatitis)
Imeandikwa:
29 Oktoba 2026, 16:34:25
bottom of page

