top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Weigh gain

Weigh gain

Weigh gain ni nini kwa kiswahili?

Weight loss

Weight loss

Weight los ni nini kwa kiswahili?

Wet gangrene

Wet gangrene

Wet gangrene ni nini kwa kiswahili??

Window period, Dirisha la matazamio

Window Period

Window Period ni neno la kitiba linalofahamika kiswahili kama "Dirisha la matazamio"



Dirisha la Matazamio ni kipindi kati ya mtu kuambukizwa Virusi vya Ukimwi (VVU) na wakati ambapo vipimo vinaweza kubaini kwa uhakika uwepo wa maambukizi hayo.

a.c kirefu chake ni nini?

a.c katika tiba na cheti cha dawa ni kifupi cha neno la Kilatini "ante cibum", lenye maana ya kabla ya kula.

Neno a.c linapotumia kwenye cheti cha dawa humaanisha dawa hiyo itumike ‘kabla ya kula chakula’

bottom of page