Atrophy ni neno tiba lenye jina la kiswahili la Atrofia ambapo ni hali ya kitabibu inayohusisha kupungua kwa ukubwa, uzito, au uwezo wa kufanya kazi wa kiungo, tishu, au seli za mwili, kutokana na kupungua kwa matumizi, lishe, msukumo wa neva, homoni, au magonjwa fulani.