top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Balanitis
Balanitis ni neno tiba lenye jina la Kiswahili la Balanaitisi ambapo ni hali ya kitabibu inayohusisha uvimbe au uchochezi wa kichwa cha uume. Hali hii huathiri wanaume au wavulana, hasa wale wasiotahiriwa, na inaweza kusababishwa na maambukizi, mzio, usafi duni, au magonjwa mengine ya msingi.
bottom of page


