top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Magonjwa ya moyo yasiyo ya kuambukiza
Ni magonjwa yanayoathiri moyo au mishipa ya damu bila kusababishwa na maambukizi ya bakteria, virusi, fangasi au vimelea wengine. Ni kundi kubwa la magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, na yanaweza kutokea kutokana na vinasaba, mtindo wa maisha, umri au magonjwa mengine.
bottom of page


