top of page

Kikokotoo- Ukuaji wa mtoto tumboni

Kikokotoo cha ukuaji wa mtoto tumboni

Jinsi kukutumia kikokotoo hiki:

​​​

  • Chagua tarehe ya mwisho ya hedhi, kisha bofya “Bofya Kukokotoa” ili kupata umri wa mimba pamoja na makadirio ya uzito na urefu wa mtoto.

  • Matokeo ni ya elimu tu; kwa uthibitisho wa kitabibu, wasiliana na mtaalamu wa afya au fanya kipimo cha ultrasound.

bottom of page