top of page

​Namna ya kuishi maisha bora na ugonjwa wa kisukari

Kisukari na chakula

Kisukari na chakula

Kisukari hutokea pale mwili unaposhindwa kutumia na kuhifadhi sukari kama ilivyo kawaida.

Kudhibiti kisukari wakati unaumwa

Kudhibiti kisukari wakati unaumwa

Mgonjwa wa kisukari anapoumwa, kiwango cha huweza badilika au kubaki kile kile. Wakati huu unashauriwa kupima kiwango cha sukari mara nyingi kuliko kawaida mfano mara tatu hadi nne kwa siku.

Matibabu ya kisukari

Matibabu ya kisukari

Matibabu ya kisukari hutegemea aina ya kisukari. Matibabu huhusisha matumizi homon insulin au dawa.

Vipimo vya kisukari

Vipimo vya kisukari

Kipimo cha sukari baada ya mfungo wa usiku na mara baada ya kula hutumika kwenye utambuzi wa kisukari.

Vihatarishi vya kupata kisukari

Vihatarishi vya kupata kisukari

Uzito mkubwa, kutoshughulisha mwili, historia ya kisukari kwa ndugu wa damu moja, kisukari cha ujauzito ni miongoni mwa vihatarishi vya kupata kisukari. Unaweza kudhibiti baadhi ya vihatarishi hivi kwa kufanya mazoezi na kuzingatia mlo.

bottom of page