top of page
MATUMIZI YA DAWA KIPINDI CHA UJAUZITO NA KUNYONYESHA

Cephalexin kwenye ujauzito
Cephalexin kwa ujumla inaonekana kuwa salama kutumika wakati wa ujauzito na kunyonyesha, ingawa baadhi ya tafiti zimeonyesha uwezekano mdogo wa kuhusishwa na madhaifu ya kiuumbaji kutokana na sababu zingine zinazoweza kuchanganya matokeo. Kiasi kidogo hupita kwenye maziwa ya mama, lakini kwa kawaida haitoi madhara makubwa, hivyo wataalamu wengi huiainisha kama salama kutumia.
bottom of page











