top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Kisonono

Kisonono

Licha ya kuambukizwa kwa njia ya ngono au kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kisonono hutibika kama mgonjwa akipata matibabu sahihi.

Fangasi ukeni

Fangasi ukeni

Maambukizi ya candida ni kisababishi kikuu cha muwasho kwenye maeneo ya uke na kutoka kwa uchafu mweupe kama maziwa ukeni.

Kaswende

Kaswende

Hutibika kirahisi endapo ugonjwa upo kwenye hatua za awali, ambapo hakuna madhara makubwa ambayo yametokea.

Kusinyaa kwa arteri

Kusinyaa kwa arteri

Ni ugonjwa unaodhuru mishipa mikubwa ya damu na ni kisababishi cha awali cha magonjwa ya moyo na kiharusi na huchangia asilimia 50 ya vifo katika nchi zilizoendelea.

bottom of page