top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

U.T.I kwa wanawake na wanaume: Sababu, Dalili, Matibabu na  Kinga

U.T.I kwa wanawake na wanaume: Sababu, Dalili, Matibabu na Kinga

Maumbile ya wanawake huruhusu vimelewa wanaosababisha U.T.I kuingia kirahisi katika mfumo wa mkojo na hii ndio maana hupata tatito hili mara kwa mara. Kunywa maji mengi, kukojoa mara baada ya tendo la ndoa na kujisafisha kisahihi hupunguza vipindi vya kuugua U.T.I.

Vipele vya UKIMWI

Vipele vya UKIMWI

Vipele ni moja ya dalili ya ugonjwa wa ngozi, hutokea kwenye asilimia 90 ya watu waishio na virusi vya UKIMWI na huweza kuwa ishara ya kwanza ya maambukizi ya VVU.

Kaposi's sarcoma

Kaposi's sarcoma

Ni saratani ulayoathiri chembe za ukuta wa ndani wa mishipa ya damu na huweza kusababisha dalili za vipele vyenye rangi ya zambarau kwa watu weupe na dalili zingine kutokana naeneo lililoathiriwa.

Vipele mshikizo

Vipele mshikizo

Vipele mshikizo ni vipele vidogo vinavyoning’inia juu ya ngozi na huwa havina shida yoyote. Hutokea sana kwenye maeneo ya shingo, kufua, mgongo na kwapani.

bottom of page