top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Mafua ya kirusi Influenza

Mafua ya kirusi Influenza

Mafua ni tatizo linalofahamika sana duniani kote na hutokea mara kwa mara kwa binadamu. Makala hii imeangalia mafua yanayosababishwa na kirusi maarufu cha jina la kirusi cha influenza

Maumivu ya korodani kutokana na Epididimaitis

Maumivu ya korodani kutokana na Epididimaitis

Epididimaitis ni neno tiba lenye maana ya uvimbe wa mirija ya epididimis kutokana na mwitikio wa chembe hai za mwili dhidi ya maambukizi au kitu kigeni kwenye mirija hiyo.

Kuvunjika uume

Kuvunjika uume

Watu wengi wanashangaa kama kweli uume unaweza kuvunjika, hii ni kwa sababu inafahamika kuwa kitu kinachovunjika ni kile chenye mifupa tu. Ni kweli kwamba uume hauna mfupa lakini unaweza kuvunjika pale unapopata ghasia wakati umesimama.

Vipele vya tezi Tyson kwenye uume

Vipele vya tezi Tyson kwenye uume

Tezi tyson ni aina ya tezi za mafuta ya ngozi zenye jina la ‘sebaceous gland’ zilizohama maeneo yake asilia na hutokea kama jozi kwenye shingo ya uume. Kazi ya tezi hizi ni kutoa mafuta yayaofanya uume uteleze kwenye uke wakati wa kujamiana.

bottom of page