top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Amibiasis (amoebiasis)

Amibiasis (amoebiasis)

Amibiasis ni maambukizi ya utumbo mpana yanayosababishwa na kimelea Entamoeba histolytica kupitia chakula au maji yaliyochafuliwa na kinyesi. Huleta kuharisha damu na kamasi na maumivu ya tumbo, na mara chache jipu la ini. Hutibiwa kwa hatua mbili ili kuua vimelea na vifuko (cysts) vyake.

bottom of page