top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 10:35:08

Aina za chanjo za COVID-19

Kuna chanjo aina ngapi za Corona?

Kuna chanjo nyingi zilizopo kwenye majaribio mpaka sasa, chanzo ambazo zimepitishwa kutumika kwa watu na Shirika la Afya Duniani ni tarikani Chanjo 8, 5 zimeruhusiwa kutumika Tanzania na wizara ya afya ambazo ni Pfizer, Moderna, Johnson & Johnson (Janssen) Sinopharm na Sinovax.


Soma zaidi kuhusu chanjo za COVID-19 kwa kubofya hapa.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:07

Rejea za mada hii

bottom of page